17TH PRINMAT ANNUAL GENERAL MEETING HELD AT LUTHERAN UMOJA HOSTEL IN MOSHI - KILIMANJARO ON 9TH - 12TH OCT 2017
Shirika la Wauguzi na Wakunga Tanzania Wakujitegemea (PRINMAT), mwakani litapanua wingo katika mradi wa kuelimisha vijana walio katika ndoa namna ya kujiuepusha na ukimwi.
