Mama Aliyejifungua Mapacha Watatu Wilayani Tarime aomba Msaada

Bi Rusia Wegesa Chacha mkazi wa kijiji cha Nyabiga Kata ya Penba,(Wilaya ya Tarime) akiwa na watoto wake watatu alikojifungua katika Clinic ya Upendo Prinmat

Gwitiryo.anaomba msaada wasamalia wema kupitaia ACCOUNT N0. 3042501404 NMB – TARIME.

 • Kulia ni Daktari wa kituo cha Upendo. Peter Mahiri akiwa na Bi Wegesa na muuguzi mkuuwa kituo Roze Achiengi na Stephen Asheri. (Picha na Samson Chacha)

  Kulia ni Daktari wa kituo cha Upendo. Peter Mahiri akiwa na Bi Wegesa na muuguzi mkuuwa kituo Roze Achiengi na Stephen Asheri. (Picha na Samson Chacha)

 • Bi Rusia Wegesa Chacha mkazi wa kijiji cha Nyabiga Kata ya Penba,(Wilaya ya Tarime) akiwa na watoto wake watatu alikojifungua katika Clinic ya Upendo Prinmat

  Bi Rusia Wegesa Chacha mkazi wa kijiji cha Nyabiga Kata ya Penba,(Wilaya ya Tarime) akiwa na watoto wake watatu alikojifungua katika Clinic ya Upendo Prinmat

 • Google+
 • PrintFriendly