Waziri wa Afya afungua Mkutano Mkuu wa 15 wa Prinmat 2014

Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii Dkt.Seif S.Rashid (Mb) akifungua mkutano mkuu wa 15 mwaka wa chama cha wauguzi na wakunga walio katika huduma binafsi (PRINMAT).

  • Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii Dkt.Seif S.Rashid (Mb) akifungua mkutano mkuu wa 15 mwaka wa chama cha wauguzi na wakunga walio katika huduma binafsi (PRINMAT). Kushoto kwa waziri ni Dkt.Mariam Ongala Anayesimamia masuala ya PPP katika wizara ya Afya na ustawi wa Jamii na kulia kwa waziri ni m/kit

    Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii Dkt.Seif S.Rashid (Mb) akifungua mkutano mkuu wa 15 mwaka wa chama cha wauguzi na wakunga walio katika huduma binafsi (PRINMAT). Kushoto kwa waziri ni Dkt.Mariam Ongala Anayesimamia masuala ya PPP katika wizara ya Afya na ustawi wa Jamii na kulia kwa waziri ni m/kit

  • Wajumbe na wanachama wa  chama cha wauguzi na wakunga walio katika huduma binafsi (PRINMAT) wakishiriki Kuimba Wimbo wa chama chao,mkutano huu wa siku nne(4)  unakula na kwa lengo la kuweka mikakati ya kuboresha huduma hizi sehemu mbalimbali hapa nchini.

    Wajumbe na wanachama wa chama cha wauguzi na wakunga walio katika huduma binafsi (PRINMAT) wakishiriki Kuimba Wimbo wa chama chao,mkutano huu wa siku nne(4) unakula na kwa lengo la kuweka mikakati ya kuboresha huduma hizi sehemu mbalimbali hapa nchini.

  • Google+
  • PrintFriendly